Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/405

This page has been proofread, but needs to be validated.
CHAPTER 7
SWAHILI MICROTEXTS


LESSON 11

Vocabulary

Listen to the Swahili sentences, repeat them aloud, and practice until you can give them easily and correctly in response to the English sentences.

Rais aliwahutubia Mawaziri kwenye mkutano. The President addressed the Ministers at a meeting.
Watakutana mwisho wa mwaka huu. They will meet [at] the end of this year.
Bw. Fulani ni mjumbe wa wilayahii. Mr. So-and-so is the representative of this district.
Mwenyekiti alisimamia uchaguzi. The chairman supervised the election.
Mwenyekiti wa Mkoa huu ni nani? Who is the chairman of this province?
Wanachama walimsaidia mwenyekiti. The members helped the chairman.
Wanachama wote wanasaidiana. All the members help one another.

Text

Listen to the text, read it aloud, and then check with the English translation.

Kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha U. W. T. katika Wilaya ya Karagwe Bi Paulina Mkonge alichaguliwa kuwa Mwenye Kiti wa wilaya na Bibi Cortrida Laurenti alichaguliwa Makamu wa Mwenye Kiti.

Uchaguzi huo ulisimamiwa na mwenye kiti wa U. W. T. wa Mkoa Bi Amisa akisaidiana na mjumbe wa Mkoa Bi Mariani Farahani.

Kiongozi, 15 Agosti 1966

At the annual meeting ('principal meeting of the year') of the U. W. T. organization in the district of Karagwe, Miss Paulina Mkonge was elected to be chairman of the district and Mrs. Cortrida Laurenti was elected deputy (of the) chairman.

The (aforementioned) election was supervised by the reggional chairman of U. W. T., Miss Amisa in cooperation with ('cooperating with) the regional representative, Miss Mariani Farahani.

388