Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/435

This page has been proofread, but needs to be validated.
CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
EXAMPLE FROM INVENTORY:
Malawi ina rais?
[Does Malawi have a president?]
La, haina.
TENSE MODIFIERS:
Malawi ina rais sasa? La, haikuwa na rais zamani.
Malawi ilikuwa na rais zamani? La, haikuwa na rais zamani.
Malawi itakuwa na rais siku zijazo? La, haitakuwa na rais siku zijazo.
Anataka Malawi iwe na rais? Anataka Malawi isiwe na raise
Malawi ingekuwa na rais? La, isingekuwa na rais
Watafanya nini, Malawi ikiwa na rais? Watafanya nini, Malawi isipokuwa na rais?

11. 'Be located' (cf. Learner's Synopsis, par. 62)

KEY EXAMPLE:
Kitu kiko huko.
[The thing is there.]
Kitu kiko huko.
TENSE MODIFIERS:
sasa Kitu kiko huko sasa.
zamani Kitu ki1ikuwa huko zamani.
siku zijazo Kitu kitakuwa huko siku zijazo.
Wanataka nini? Wanataka kitu kiwe huko.

418