Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/437

This page has been proofread, but needs to be validated.
CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
ingewezekana Ingewezekana, Dr. Banda angekuwa safarini.
Watafanya nini? Watafanya nini, Dr. Banda akiwa safarini?
Wanataka nini? Wanat aka Dr. Banda awe safarini.
jana Dr. Banda alikuwa safarini jana.
FURTHER SENTENCE FROM INVENTORY:
Dr. Banda atafanya ziara.
[Dr. Banda will make an official tour. ]
Dr. Banda atafanya ziara.
TENSE MODIFIERS:
kesho Dr. Banda atafanya ziara kesho.
Wanataka nini? Wanataka Dr. Banda afanye ziara.
sasa Dr. Banda anafanya ziara sasa.
ingewezekana Ingewezekana, Dr. Banda angefanya ziara.
watafanya nini? Watafanya nini, Dr. Banda akifanya ziara?
jana Dr. Banda alifanya ziara jana.

420