Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/444

This page has been proofread, but needs to be validated.
Sample Pages
APPENDIX U
Wanataka hini? [What do they want?] Wanataka kitu hiki kiwe kizuri. [They want this thing to be good.]
ingewezekana [If it were possible.] Ingewezekana, kitu hiki kingekuwa kizuri. [If it were possible, this thing would be good.]
Watafanya nini? [What will they do?] Kitu hiki kikiwa kizuri watafanya nini? [If this thing is good, what will they do?]
SENTENCE FROM THE INVENTORY:
Bw. Kawawa ni Makamu wa Pili wa Rais.
[Mr.Kawawa is Second Vice-President.]
Bw. Kawawa ni Makamu wa Pili wa Rais.
TENSE MODIFIERS:
sasa Bw. Kawawa ni Makamu wa pili wa Rais sasa.
jana Bw. Kawawa alikuwa Makamu wa pili wa Rais jana.
siku zijazo Bw. Kawawa atakuwa Makamu wa pili wa Rais siku zijazo.
Wanataka nini? Wanataka Bw. Kawawa awe Makamu wa pili wa Rais.
Watafanya nini? Watafanya nini Bw. Kawawa akiwa Makamu wa pili wa Rais?
Ingewezekana Ingewezekana, Bw. Kawawa angekuwa Makamu wa pili wa Rais.

427