Sample Pages
APPENDIX U
ingewezekana | Ingewezekana, kitu kingekuwa huko. |
Watafanya nini? | watafanya nini, kitu kikiwa huko? |
SENTENCE FROM INVENTORY: | |
Mji uko huko. [The city is there. ] |
Mji uko huko. |
TENSE MODIFIERS: | |
sasa | Mji uko huko sasa. |
zamani | Mji u1ikuwa huko zamani. |
siku zijazo | Mji utakuwa huko siku zijazo. |
Wanataka nini? | Wanataka mji uwe huko. |
ingewezekana | Ingewezekana, mji ungekuwa huko. |
Watafanya nini? | Watafanya nini, mji ukiwa huko? |
FURTHER SENTENCE FROM INVENTORY: | |
Dr. Banda yuko safarini. [Dr. Banda is on a trip. ] |
Dr. Banda yuko safarini. |
TENSE MODIFIERS: | |
sasa | Dr. Banda yuko safarini sasa. |
siku zijazo | Dr. Banda atakuwa safarini siku zijazo. |
419